Kama ilivyo kuwa desturi ya shujaa lazima aibuke shujaa kwenye kila kitu,
Kuelekea mchezo wa leo Mashujaa Fc @mashujaafcofficial akiwa nyumbani akimkaribisha mnyama simba mwanalunyasi @simbasctanzania
Je, Mashujaa Fc watalitendea haki jina la Mashujaa na kuibuka kidedea kubeba alama 3, ?
Je, Simba Sc ataweza kufurikuta mbele ya mashujaa hawa?
Au ndokusema ataziokota alama zake tatu kiulaini?
Ni upi mtazamo wako kuelekea pambano hili leo hii ifikapo saa 10;00 jioni.
Vipi kuhusu correct score, unaweza kuwa ngapi ngapi kwa dakika 90 za mchezo huu.
0 Comments