Header Ads Widget

Responsive Advertisement

SIMULIZI: MJAMZITO AFUMANIWA LODGE NA MUMEWAKE

 


Naitwa Michael, wakati namwambia Baba nataka niondoke nyumbani niingie mtaani kupambana hakutaka kunielewa maana alikuwa anasema nitaishia kwenye uhuni na mwisho wa siku matatizo yatarudi kwake. 

Shule ilinishinda nikawa sitamani kabisa kusikia kitu kinaitwa shule kutoka kwa mtu yeyote yule. Ilifika muda nikaamua kutoroka nyumbani bila kumuaga Baba yangu wala mama yangu.

Nilipanga mkakati mzima na shangazi yangu ambaye alinipatia nauli na kiasi kadhaa cha fedha kula njiani wakati natoka Naisha kwenda Nairobi kutafuta maisha.

Kuna rafiki nilikuwa nawasiliana naye akaahidi nikifika atanipokea nifikie kwake ili nianze kutafuta maisha. Nilipofika simu zake zikawa hazipatikani, sijui wapi niende, Nikalala sehemu ya wasafiri pale stendi. Nikawa kama nimejikatia tiketi ya kulala hapo.

Simu za rafiki yangu hazikupatikana tena, hapo ndio nikaanza kutafuta ramani za maisha. Baada ya siku kadhaa hata akiba ya fedha niliyokuwa nayo ikawa inaelekea kuisha ila nikafanikiwa kupata kazi ya kurusha nyimbo kwenye simu kupitia computer. 

Baada ya miaka minne nami nikawa na ofisi yangu pamoja na familia na maisha yalikuwa yanaenda vizuri tu. Siku moja mwaka 2021, wakati niko kazini kwangu, kuna jamaa mmoja alikuja na kuniachia flash yake nimuwekee nyimbo kisha nimpelekee ofisini kwake ambapo ilikuwa ni sehemu ya kulala wageni (Lodge). 

Niliweka miziki kisha nikampelekea ofisini kwake, nilipofika akasema nisubiri pesa anaingia ndani kunichukulia na aende kuweka nyimbo kujaribu ili kuona kama zitacheza. Jamaa akarudi na kusema zimegoma kufanya kazi, ikabidi nimuombe ruhusa niingie ndani kumsaidia kuweka sawa.

Nilivyoingia nikakuta mshikaji mwingine yuko na mwanamke chumbani, mimi nikaweka zangu flash na kuwarekebishia ili muziki ufanye kazi. Bahati mbaya yule msichana akaongea nikahisi sauti naifahamu, kumbe ni mke wangu na kipindi hicho alikuwa na mimba changa ya miezi kadhaa.

Niliishiwa nguvu ghafla nikatokwa na machozi kama mtoto nisijue kipi cha kufanya. Mke wangu alikuwa amejifunika shuka tu na mshikaji yuko zake pembeni. Niliondoka kwa hasira nikasahau hadi kwenda kufunga ofisi yangu. Mhudumu wa pale Lodge hakujua kama mimi ndo mume wake.

Hata hivyo, fumanizi hili lilikuja baada ya mimi kuwatembelea Kiwanga Doctors ambao walinifanyia dawa ya kumkinga mke asiweze kutoka nje ya ndoa yetu au kuwa na mpango wa kando. Walinipa pete ya uchawi wa mapenzi ili kumlinda. 

Kumbe hadi nafika pale Lodge, mke wangu na yule jamaa walikuwa bado hawajaanza kufanya mambo yao. Na kama wangefanya, basi wangegandiana sehemu zao za siri hadi mimi nije kushuhudia tukio hilo. 

Mke wangu alirudi nyumbani na kunikuta na hasira sana. Alillia na kuniomba msamaha na kusema hawakufanya chochote maana ndipo tu walikuwa wamefika pale Lodge nami ndipo nikatokezea. Nilimsamehe na sasa tunaishi vizuri na mtoto wangu ana miaka miwili.

Kwa simulizi zaidi tembelea tovuti yake www.kiwangadoctors.com au mpigie Kiwanga Doctors kwa namba +255763926750 au +254769404965 ili kupata huduma ya changamoto yoyote unayokutatiza maishani. 

Mwisho.

Kutoka matukiodaimamedia.

Post a Comment

0 Comments